Monday 6 January 2014

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI SIKU YA UZINDUZI WA TUMANYENE SOCIAL HALL

Watu wakiingia ukumbini
Wazee wa matarumbeta wakiongozwa na 'Agent one master' a.k.a Wagadugu wakiendelea kuamsha amsha nje huku watu wakiendelea kuingia ukumbini.
Muonekano wa ndani ulivyokuwa siku hiyo
 Kaka na dada zake mkurugenzi wakiwa wanafuatilia kwa umakini kabisa

Pich Nne juu zinaonesha matukio mbalimbali wakati mgeni rasmi OCD wa Mbeya wakati anawasili na kukagua jengo.
Baadhi ya washkaji zangu wa nguvu walionipa sapoti ya nguvu siku ya uzinduzi.Thanks very much brothers

0 comments:

Post a Comment