Sunday 12 May 2013

Official!!TUMANYENE SOCIAL HALL KUZINDULIWA TAREHE 02 June


Ule ukumbi wa burudani wa kisasa kabisa jijini Mbeya uliopo eneo la Nzovwe utazinduliwa tarehe 02/06/2013 ukiambatana na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali wakubwa na wanaochipukia.
Akizungumza na safu hii Afisa uhusiano wa
Tumanyene co ltd ndugu Ezekia Eliah(pichani) amesema mipango yote imekwisha kamilika ikiwemo kupata nyaraka zote za kiserikali zinazoashiria kuruhusu kuanza rasmi kwa shughuri zote za burudani.
Zaidi ya wasanii arobaini wa kutoka ndani na nje ya jiji la mbeya wameomba 'kupafomu' siku ya uzinduzi huo,Eze anasema kuna idadi ya wasanii wasiopungua arobaini wanaotaka kupafomu siku hiyo kutoka Dar es salaam na Mbeya ila sisi tutawapa kipaumbele wasanii wetu wa hapa Mbeya coz wanafanya vizuri sana kama wale wa DAR so inakuwa haina maana kuwaleta watoka mbali.

Pia afisa mipango na matukio wa Tumanyene co. ltd akiongea na safu hii kwa njia ya simu kutoka Arusha ndugu Filbert Eliah anasema uzinduzi huo utakuwa wa aina yake na hakuna kiingilio ila itakuwa ni kwa wale tu watakao pewa mualiko maalumu.
Filbert
 Muonekano wa ndani



 'List nzima ya wasanii watakaopafomu itatolewa hivikaribuni' alimalizia kuongea

5 comments:

  1. ebwana Eee si yakukosaaa maana namwamini sana ndugu afisa mipango

    ReplyDelete
  2. ELIUD YULE MWEUSI NA MAJUTO A.K.A WEVU BIZO ASIPOKUWEPO KWENYE LIST YA KUPERFORM SIJI TENA MNIKOME

    ReplyDelete
  3. hapo najua itakua list imetimia

    ReplyDelete