Monday, 30 December 2024

BURUDANI MBEYA yaja na TUZO ZA BURUDANI MBEYA.


Platform ya BURUDANI MBEYA imekuja na TUZO ZA BURUDANI MBEYA zinazogusa nyanja ya MUZIKI, FILAMU,COMEDY, MODEL, VIXEN,MPIRA na HABARI. Platform hii inamiliki blog, YouTube channel na Instagram page.
Kwa maelekezo zaidi na namna ya kupiga kura fuata link hii hapa https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLScWMww1XRfpvzgnwa7tYqGktF1LBcUmeIpSImbOgWcjG3MWbQ/viewform?usp=sharingTuzo za burudani Mbeya

0 comments:

Post a Comment