Monday, 6 May 2013

VINEGA WAUPANDIA DAU UGOMVI WA JAYDEE NA CLOUDS

 
Wanaharakati wa muziki wa kizazi kipya nchini maarufu kama VINEGA wameomba kuuziwa BIFU la Lady JayDee na Clouds Media Group kwa gharama yoyote ile.Wakichangia mjadala ulioanzishwa na mmoja wa memba wa harakati hizo D wa Maujanjasaplayaz aliouanzisha facebook jana uliokuwa na kichwa cha habari kilichosomeka:-

 'Huu ugomvi wa lady jd na cloudz 2ngeomba a2uzie VINEGA kwa bei yoyote cc 2ka tayari kuununua'  memba hao walionesha kuuhitaji sana huo ugomvi ili wautumie vizuri katika kuhakikisha wanautetea muziki wa Tanzania na wasanii wake.Haya ndio waliyoyachangia:-


Huu ugomvi wa lady jd na cloudz 2ngeomba a2uzie VINEGA kwa bei yoyote cc 2ka tayari kuununua
18Like · ·

4 comments:

  1. Mbna wao iliwashinda? Wataiweza hii

    ReplyDelete
    Replies
    1. wao wanadai walishinda mpaka RUGE aliomba poo kupitia serikali-waziri nchimbi

      Delete
    2. wao walikua wanadai haki zao je walimalizaa harakati na kufanikiwa? Au ndo kama roma alivyosema

      Delete
    3. wanadai walishinda na vyombo vya habari vingi viliripoti,ila kiuhalisia kama tatizo bado lipo vile

      Delete