Showing posts with label burudani. Show all posts
Showing posts with label burudani. Show all posts

Monday, 31 March 2025

EASTER COMEDY SHOW COUNTDOWN: MAMBO MUHIMU KWA MASHABIKI!

Kadri siku zinavyosogea kuelekea EASTER COMEDY SHOW tarehe 20 Aprili 2025 katika Tughimbe Hall, Mbeya, mashabiki wa vichekesho wanapaswa kujiandaa vilivyo ili kufurahia tamasha hili kikamilifu. Hapa kuna vidokezo muhimu kwa mashabiki wanaotegemea kuhudhuria:

1. KATA TIKETI YAKO MAPEMA