Profesa Jay akiwa ameshikana mkono na mh.SUGU huku akionesha kadi yake ya uanachama.
Mh.SUGU,Profesa Jay na Mh.Mnyika baada ya Jay kukabidhiwa kadi ya uanachama.
Prof Jay na Mh.SUGU baada ya kupata kadi ya uanachama
.
Baadhi ya vipande vya mistari yake hivi hapa:-
Naamini nitashinda mwenyezi nioneshe nuru,
Wenye roho mbaya na chuki wasinidhuru,
Visa ndiyo vimetanda na wanga kwenye msururu,
Ipo siku ntashinda Profesa nitakukuwa huru.
Naamini nitashinda,niko vitani dhidi ya shetani.
Dhamira iliyo kichwani ni kumkana na kumlaani.
.............................
Wenye roho mbaya na chuki wasinidhuru,
Visa ndiyo vimetanda na wanga kwenye msururu,
Ipo siku ntashinda Profesa nitakukuwa huru.
Naamini nitashinda,niko vitani dhidi ya shetani.
Dhamira iliyo kichwani ni kumkana na kumlaani.
.............................
MAONI ya baadhi ya wasanii na watu mbalimbali.
Lady Jaydee:-
Lady JayDee @JideJaydee 3m
Kindagateni mpk Chuo kikuu, down town kwa machizi na masista duu.
Mikono juu. Hapo vipi?? Hapo sawa?? Na support 100% alichoamua Prof JayExpand
Lady JayDee @JideJaydee 16m Tunakutegemea Prof J. Ukombozi
masanjasb:From Jamiiforums:-
nishawahi kumtweet kipindi fulani kuwa harakati zake na mawazo yake yanahitajika sana katika siasa zetu na yeye akaichukua tweet yangu nakure-tweet na watu wengi waliunga mkono hoja hyo....so am happy now kajiunga rasimi kwa wapigania haki.
Joseph:From Jamiiforums
Kapima na kuona ni wapi panamfaa kuwepo,ni uamuzi wa makini na ni mfano bora kwa vijana wanamuziki ambao muda mwingi wamekuwa wakitumika kwenye majukwaa ya chama fulani bila kufanyiwa kile wasanii wanachokitaka,natumai kuwepo kwake CHADEMA atapambana vizuri kuhakikisha kazi za wasanii zinawasaidia na kuwaendeleza wasanii.
Karibu kamanda Joseph kwenye mapambano ya kuikomboa nchi yetu.
Djchoka MrApetite
Hii story ya @Profesa_Jay kujiunga na CHADEMA sijui leo itakuwa namba ngapi kwenye story 10 za AMPLIFAYA ya Millard Ayo ngoja nisikilizie...
Mgosi Mkoloni
Profesa J ajiunga chadema rasmi.......still in Dodoma!
ALICHOKIZUNGUMZA:-
Profesa Jay amesema yeye ni
mwanaharakati muda mrefu na amejiunga na amejiunga na CHADEMA rasmi
leo lakini yeye ni mfuasi wa Chama hicho muda mrefu kutokana na
harakati zake za kutaka kuikomboa Tanzania.Profesa Jay alisema kuwa
anapenda Tanzania Bora,na anaamini Chama cha Chadema kina muelekeo
huo wa kuipeleka Tanzania kuwa Bora.Hiyo ndo maana ameamua kuchukua
kadi ya chama hicho na si kwa nia ya kufanya Siasa ila ni kwaajili ya
kuijenga Tanzania na kuendeleza harakati.
NAIONA TANZANIA MPYA MWAKA2015.
ReplyDeletetusubiri tuone
Delete