Sunday, 26 May 2019

NYOTA WA WIKI

DANYLOVE kupitia account yake ya facebook ameandika:-
'kuna baadhi ya watu wa media fulani fulani wanageuza vyombo vyao vya habari kuwa sehemu ya kuwasimanga wanasanaa,hasa sanaa ya muziki kitu ambacho siyo poa.
DANYLOVE

Watu wanatumia muda tena wakati mwingine hata hizo pesa ndogo wanazopata kutengeneza majina yao lakin wapo watu wanawashusha ..
tunajua mapungufu ambayo wasanii wetu wanayo lakini hata sisi pia kama binaadamu tunamapungufu yetu na hawa wasanii hawana kwa kusemea lakini sisi kwakuwa tuana fursa basi ndo shida!
unajudge watu we ni nani? unawatenga wasanii we ni nani? vipi siku usiwepo kwenye hiyo nafasi ukakutana na unayemdharau mahala fulani ambapo bila yeye hupiti?
Tukumbuke kuyajenga mazuri yale yanayoonekana kuliko kuweka wazi mabaya tu unadhan hii game itakuwa kweli?

Kupitia post hii amesimama pia kama nyota wa wiki

HONGERA SANA DANYLOVE KWA KUSIMAMIA UKWELI NA UPANDE CHANYA

0 comments:

Post a Comment