Sunday, 26 May 2019

NYOTA WA WIKI

NYOTA WA WIKI wiki hii inayoishia leo jumapili tarehe 26/5/2019 inakwenda kwa mtangazaji wa kipindi cha burudani cha redio ya Highlands fm 92.5mhz kinachoitwa Hot Show.

Mtangazaji MrTee Kilaka Mashine amechukua nyota ya wiki hii kupitia post yake ya jumatatu iliyokuwa na ujumbe ufuatao:-
Mr Tee Kilaka Mashine

'Sanaa imebadilika Sana muziki umebadikika Sana Radio zimekuwa nyingi Sana 
Note: wadau... Wasanii......wamekuwa wakilia mziki wetu haufiki mbali wasanii wa Home hawasikiki mbali zaidi 
Ndugu zangu nafasi tunao wapa hawa wasanii Wa nyumbani nikubwasana tunawapambania Sana.............. Kwamuda mchache nilio ingia Kwenye sanaa nimegundua Kitu kidogo
1.wasanii wengi wahome wamekuwa na imani Kuwa wakipeleka wimbo radio ndio basi nisha toka. 
2.wavivu kutafuta connection mbalimbali ndani ya Mkoa Na nje Ya Mkoa 
3.kufanya kazi kimazoea (kuunga unga production)wakati unaweza kutoa hit Moja ikasambaaa Na kukupa kitu kikubwa kuliko kutoa  nyimbo zaidi ya tanowambazo hazina vaib (mixngmbovu..... )
4.wasanii wamekuwa wengi Sana (watangazaji wamekuwa waoga kuwachana wasanii ambao wakipeleka Wimbo radioni kwao ukiwa mbovu hawasemwi mwisho wa Siku msanii anarudi nakuendelea kufanya vile vile)
5.waandaaji wamuziki (producer) wamekuwa wakifanya kazi kimazoea... Kimaslahi...... Wamekuwa hawashirikiani =producer Anajua ye mkali kwenye beat lakini mixng hawezi lakini hato kubali producer mwingine amalizie project (pia waandaaji wamekuwa wengi mtaani tena unakuta Ana wamiliki wasanii(producer mbovu... Wasaniii... Wabovu..... Ukiwabania media Maneno yanaanza)
6.baadhi ya wasanii wa home Hawajui maana ya brand....... Mzikibiashara.... Promo...... Faida za mitandao ..........kubwa utasikia Bro naomba  interview or sister naomba interview
===================inatosha kwa Leo N.K =msanii wa Home jitambue we ni Nani, unahitaji nini, unataka kufika wapi.....jitasmini je?? Unafanya muziki kimazoea...... Jifunze.. Maana ya #brand.... #Mziki biashara......#promo......#serious .....Mwisho usiogope kumtafuta msanii aliyefanikiwa akupe ushauri............ Nanyie mliobaatika kupata nafasi msiwabanie wadogo zenu #homeRadionyingi lakini hazifiki mbali zingekuwa zinatusua TZ nzima wanangu mngekuwa ma star fasta........'

HONGERA SANA Ndugu Thobias Mgimwa a.k.a Mr.Tee Kilaka Mashine kwa kuichukua nyota wiki wiki hii...tukutane wiki ijayo kuona nani atakayechukua nafasi hii

0 comments:

Post a Comment