Saturday, 9 January 2016

ALBAMU KALI/BORA ZA HIPHOP ZA MUDA WOTE

KUTOKANA NA KUFUATILIA MUZIKI WA HIP HOP KWA MUDA MREFU HAPA NCHINI TANZANIA NALETA ALBAMU KALI/BORA ZA MAHADHI HAYA ZIKIZINGATIA uandishi,utunzi,ujumbe,uwasilishaji,mpangilio n.k-

1) MUZIKI NA MAISHA - 2PROUD/MR 2/SUGU
2) ULIMWENGU NDIO MAMA - JAY MOE
3) CHEMSHA BONGO - HARD BLASTERS CREW


4) HOMA YA DUNIA - SOLO THANG
5) MACHOZI,JASHO NA DAMU - PROF JAY
6) NINI CHANZO - JUMA NATURE
7) FASIHI LA UFASAHA - GANGWE MOB
8) FALSAFANI - MWANA FA
9) MIMI - NGWEA
10) MILLENIUM - SUGU
11) RAHA KAMILI - AY
12) NAKUTESA(Ilitoka 1997 au 1998) - BANTU POUND FAMILY (SOGGY,CAZ T,SNAZ T etc)
13) MTOTO WA GETI KALI - INSPECTOR HAROUN
14) TUNASONGA - KIKOSI CHA MIZINGA
15) JINA NIMESAHAU - CRAZY GK (Kulikuwa na nyimbo kama Tutakukumbuka,miiko kumi ya RAP n.k)

0 comments:

Post a Comment