Thursday, 7 January 2016

WASANII BORA WA HIPHOP/RAP TANZANIA WA MUDA WOTE

KUTOKANA NA KUFATILIA HIP HOP KWANGU KWA MUZIKI WA MAHADHI YA HIPHOP NCHINI TANZANIA KWA MUDA WOTE NALETA MARAPPER NA WAANDISHI BORA KWA MUDA WOTE :

1. SUGU - he stand as legendary and icon for hiphop hustller in tanzania
2. JAY MOE
3. PROF. JAY

4. FID Q
5. FATHER NELLY
6. SAIGON
7. SALU T  

8. SOLO THANG
9. JUMA NATURE
10. MWANA FA
11. NASH MCEE
12. JCB
13. ROHO SABA
14. GANGWE MOB
15. AFANDE SELE
16. ADILI
17. HASHIM DOGO
18. CHINDO
19. JOSE MTAMBO
20. SOGGY DOGGY ANTER


NOTE:
HAYA MAONI NI YA UPANDE WANGU MIMI MTAYARISHAJI WA PLAYLIST YANATOKANA NA UWEZO WAO WA UTUNZI WA MASHAIRI YA KI-HIP HOP NA UWASILISHAJI WAKE KUFUATA MISINGI YA HIPHOP.

3 comments:

  1. Safi, ila there is no way songa akawa juu ya Chindo na Hashim Dogo. Na pengine juu ya Mtambo...
    Ngoja niheshimu list yako.

    ReplyDelete
  2. List nzuri sana i respect that

    ReplyDelete