Sunday, 26 May 2019

NYOTA WA MWEZI

NYOTA WA MWEZI inakwenda kwa mtangazaji kutoka Big Star fm redio kupitia kipindi cha The Magic Show ndugu Hagai a.k.a The Pitch.
Sifa zilizompatia nafasi ya kuwa nyota wa mwezi ni kama zifuatazo:-
1) Post yake iliyompatia nafasi ya kuwa nyota wa wiki iliyopita (rejea post ya nyota wa wiki iliyopita)
2) Post yake ya wiki hii iliyokuwa kama ifuatavyo:

Baada ya hiyo akaongeza na maandishi haya 'Tunahisi tunarekebisha kumbe ndo tunaharibu kabisa. Mbaya zaidi hawa wadau wetu/wasikilizaji  tunaowaaminisha kuwa wanasanaa wetu wana hizo characters ndo hawa hawa tunawaambia kwenye Radio stations na mitandao ya kijamii kuwa waje kusapport shows za wanasanaa wetu, halafu mwishoni tunakuja na mjumuisho kuwa show za Mbeya mbovu watu huwa hawaendi'.

HONGERA SANA THE PITCH kuchaguliwa kuwa nyota wa mwezi,tunaamini kuwa hii itakuwa chachu pia kwa wadau wengine


0 comments:

Post a Comment