Sunday, 19 May 2019

15 KALI ZA WIKI KUTOKA NYANDA ZA JUU KUSINI

1) MTAFYA ft NAY - NAIONA
https://youtu.be/scmpVvccgqE

2) DJ NAS FT B2K - UTAMU

3) JADAH - LITTLE BIRD

4) IBRACHANZO ft BREEDER LW - NJELE
https://youtu.be/mbEe6UsiJ7g


5) GREEN BOY/MAYDAY & MESHAMAZING - DUMBA
https://youtu.be/mNDZXuiDC10

6) DN RNB - TUMEUMBIWA

7) VGM- BEI CHEE
https://youtu.be/B2BuoEykaqs

8) CANDY DIVA ft D-TWICE - NIKIKUPA

9) SARA DIGITAL ft DANYLOVE - SARESARE

10) EM ONE - DAIMA

11) ALLEN FRESH - MBEYA BOY
https://youtu.be/l1GHFDTChV0

12) THE CHAMPION - MY WOMAN

13) B2K - UHAKIKA
https://youtu.be/h7QrDSa1D4Y

14) ZAX 4REAL - KIPENZI CHA MAMA

15) GWANO ft MESHAZING - USIKU
https://youtu.be/abLIvj0mT3E

NYOTA WA WIKI
HAGAI - THE PITCH

Mtangazaji wa kipindi cha Le Magic show katika redio ya Big Star fm The Pitch ameibuka kuwa nyota wa wiki kupitia post yake kwenye page yake ya instagram aliyoiandika akielekeza kuomba ushauri kwa nguli wa utangazaji nyanda za juu kusini Eddo Bashir Tigermnyama kama inavyoonekana hapa chini.

HONGERA SANA THE PITCH KUCHAGULIWA KUWA NYOTA WA MCHEZO WIKI HII

SUURCE
- REDIO
- MITANDAO YA KIJAMII
- LIBRARIES
- BODABODA/BAJAJI/DALADALA

Kwa maoni/habari/maswali au ushauri wasiliana nasi kupitia burudanimbeya@gmail.com

0 comments:

Post a Comment