Saturday, 27 April 2019

WASIFU WA MESHAMAZING


Meshamazing alisainiwa rasmi katika Lebo ya T-Motion mwishoni mwa mwaka 2015 baada ya kusota kwenye viunga vya T-Motion kwa zaidi ya mwaka mmoja bila kusainiwa akipewa mkataba wa muda mrefu sana ambao vipengele vingi vilimbana kuhusiana
na mambo yake ya shule vikimtaka ahakikishe anamaliza na anafaulu. Wimbo wa kwanza kumtambulisha kwenye ulimwengu wa burudani uliitwa HAWA ukifuatiwa na KODOA halafu BASI SAWA mpaka saivi akitamba na wimbo wa SINA THAMANI na kolabo aliyofanya na MTAFYA pamoja na GREEN BOY inayoitwa ZUNGUSHA. Meshamazing ameshashinda kwenye mashindano mbalimbali kama SUPER NYOTA 2017 na BSS 2018 pia alishawahi kutajwa kwenye vipengele viwili kwenye tuzo za MMA 2015 1)Msanii chipukizi 2)Wimbo bora wa R&B (Hawa) ambazo hazikufanyika.

source:Jamiiforums - Post ya march 13,2019

1 comments: