Wednesday, 2 August 2017

D TWICE AITEKA KENYA

Msanii wa kizazi kipya wa miondoko ya kufoka foka Daniel Ngaga maarufu kwa jina la D-Twice ameiteka Kenya kwa wimbo wake unaofanya vizuri pia Tanzania unaokwenda kwa jina la ALL ABOUT ME. Wimbo huu umekuwa maarufu nchin Kenya hali iliyopelekea mtangazaji
King Davy kuamua kuwapa nafasi wasikilizaji kupiga simu ili kupata maoni ya wimbo huo na simu zote zilizopigwa ziliisifia na kuomba ipewe nafasi zaidi kuchezwa pia mtangazaji aliahidi kufanya mahojiano ya moja kwa moja na msanii.



Sauti ya habari kamili ipo kupitia link hii hapa chini
Timu ya burudani Mbeya inakutakia mafanikio mema D-TWICE
Pia unaweza kumfollow kupitia insta akaunti yake kwa kuandika @official_dtwice 
Kwa maoni,ushauri,habari n.k wasiliana nasi kupitia burudanimbeya@gmail.com

0 comments:

Post a Comment