Friday, 28 November 2014

THE GREENCITY FASHION WEEK

Green City Fashion Week ni Tukio kubwa la urembo na mitindo kuwahi kufanyika Nyanda za juu kusini, Tukio hili limeandaliwa na RAK Studios na Litaambatana na utoaji wa Tuzo kwa Wabunifu na Wanamitindo watakaoshiriki. Fomu za ushiriki zimeanza kutolewa piga 0654079930 upate fomu yako, Ni nani anastahiri kushiriki:
1.Wabunifu
2.Wanamitindo
3.Wapiga picha za Mitindo
4.Wategeneza vito vya Asili
5.Wabunifu wa mitindo ya urembo km Nywere, Make-up Etc

Nafasi ziko wazi kwa Wadau na makampuni kushiriki na Kudhamini tukio hili la kihistoria.

Jiamini, Jithamini, jitambue

0 comments:

Post a Comment