Tuesday, 18 November 2014

MFAHAMU MRITHI WA GADNER G.HABASH

Baada ya GADNER G.HABASH kuondoka TIMES FM 100.5Mhz maswali mengi sana yamekuwa yakiulizwa kwamba nani ataweza kuvaa viatu vyake pale kwenye kipindi cha MASKANI.
Hapa tunakuletea kwa undani upate kumfahamu mtu aliyechukua nafasi yake.


JINA KAMILI; Stanslaus .S. Lambat
A.KA; Taryx, Big Show,
HOME; Mbeya City
TAREHE YA KUZALIWA; 26/10/1989
SHULE YA MSINGI;  Msewe Primary. & Maanga
SHULE YA SEKONDARI; Mbeya day Secondary School
UMEOA; HAPANA
UNA MCHUMBA; HAPANA (Am Looking for her)
MUZIKI UNAOUPENDA: Hip hop,na kila aina ya Muziki Mzuri.
KIPAJI;Utangazaji,
Lambat akiwa katika kwa ofis Mbeya Fm akifanya yake
KAZI YAKO YA KWANZA; Producer  pia nmewahi kuwa Mwandishi wa
 Speech's na Mashairi
KIPAJI KINGINE NJE YA UTANGAZAJI: Pool table, Football
KAZI  NYINGINE NJE YA UTANGAZAJI;  Promotion & Marketing Manager
 wa The Vibe Club-Mbeya
REDIO NGAPI UMESHAWAHI TANGAZA; Mbeya Fm pekee
NANI ALIYEKUVUTIA KUWA MTANGAZAJI HAPA TANZANIA: Taji Liundi
NANI ALIYEKUVUTIA KUWA MTANGAZAJI NJE YA TANZANIA: Jina limenitoka\
 Huyu ndie mtangazaji ambaye Stanslaus lambat anamkubali sana
UNAKOISHI; ahahah unataka kuja kupiga chabo nini siku moja.?
 Ok mi nakaa Uhindini Katikati ya jiji la Mbeya tu.!
NDOTO ZAKO ZA BAADAE; Kuwa na Mafanikio Makubwa sana
UNAPENDA SIASA; Yes, lakini siishi ndani ya Siasa (hususani siasa chafu)
NI CHAMA GANI UNAKIPENDA; Sina Chama
MCHEZO UNAOUPENDA; Mieleka
 Undertaker ndie mwanamieleka ambaye Huwa kipaji
 chake humvutia mno Stanslaus Lambat
TIMU YA NJE NA NDANI UNAYOI SHABIKIA; Man U & Simba Fc
 Simba Sc au Mnyama na Manchester united ndizo timu ambazo
 Stanslaus Lambat huzishabikia
KITU USICHOKIPENDA ZAIDI; Dharau,Uongo na Unafiki
KITU UNACHOKIPENDA ZAIDI; Uwazi,Ukweli na Kila Jambo zuri
Kwa upande wa Tanzania Mwanadada mwasiti ndie humkosha
zaidi Lambat kwa upande wa wanaume Mwanafalsasa OR MwanaFA ndie 
Humkosha Lambat
Jigga Man Or Jay Z pichani juu
na Lady Gaga ndio wanamuziki ambao humvutia zaidi 
Stanslaus Lambat kwa upande wa nje ya Tanzania

Stanslaus Lambat ktk picha tofauti akiwa na Rafiki zake
mbali mbali maeneo ya Green City
UNADHANI KITENDO WATANGAZAJI WASANII WANAOUKIMBIA
 MKOA WA MBEYA NA KWENDA NJE YA MKOA KINA MANUFAA 
YEYOTE KWA JIJI LA MBEYA;?-
Manufaa yapo maana bado wanaitangaza 
Mbeya na hutupatia namna ya kupenyeza Mazao ya Mbeya kupitia wao...!!
 Ingawa kuna wakati Maslahi ni Muhimu kwao, maana
 huwezi kujua kwann wanahama

UNA USHAURI GANI KWA RAISI J.K MRISHO KIKWETE
 NA MBUNGE JOSEPH MBILINYI;? - 
Mheshimiwa J.K Kikwete Namshauri aendelee kukaza buti tu,
 though ni Muhimu atazame wasaidizi wake kwa Jicho la Tatu..

Pia Mp Sugu namshauri aendelee kukomaa tu na akaze buti haswa
 Maana Mbeya inamuamini.!


Mahojiano haya yalifanyika tarehe 10/06/2013 na www.thegreencityprofile.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment