Sifa za Mwombaji:
✔ Uwezo wa kusoma na kuelezea habari kwa mvuto na weledi.
✔ Uzoefu wa awali wa kusoma habari ni faida, lakini si lazima.
✔ Ubunifu na ustadi wa kutumia sauti kwa namna inayovutia wasikilizaji.
✔ Uwezo wa kufanya kazi kwa kujituma na kwa ushirikiano.
Ikiwa una shauku ya kushiriki katika nafasi hii, tafadhali wasiliana nasi kwa kutuma ujumbe kupitia Instagram DM kwa @burudanimbeya au Email: burudanimbeya@gmail.com
Burudani Mbeya – PROUDLY MBEYA
0 comments:
Post a Comment