Je, uko tayari kwa Sikukuu ya Pasaka iliyojaa furaha na vichekesho? Mwaka huu, Standup Comedy Mbeya inakuletea tukio la kipekee – Easter Comedy Show 2025! Hili ni tamasha ambalo halipaswi kukupita, likiwa na wasanii wakali wa vichekesho waliokufanya ucheke mwaka mzima!
Tarehe:
20 Aprili 2025
Mahali:Tughimbe Hall Mbeya
Wasanii: Surprise comedians kutoka ndani na nje ya Mbeya!
Burudani: Burudani yenye thamani kubwa!
KWA NINI USIKOSE?
-
Vichekesho vya hali ya juu kutoka kwa wasanii
mahiri
-
Burudani kabambe kwa familia nzima
-
Muda mzuri wa kusherehekea Pasaka kwa njia ya
kipekee
- Taarifa za Tiketi Tembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii au piga simu kwa maelezo zaidi. Usikubali kusimuliwa – kuja ujionee mwenyewe!
#SisindioWalewale
#MunguAmetupaKicheko
#TunamchekaShetani
0 comments:
Post a Comment