Katikati ya jiji la KISUMU kutembelea wafanyabiashara
Elly Lawi ni nani hasa?
Elly ni Mwanaharakati wa masuala mbalimbali ya Kiuchumi(Mjasiliamali) na Kijamii akitokea jijini Mbeya akiiwakilisha vizuri Tanzania katika ukanda huu wa Afrika mashariki.
Elimu ya msingi ameipata katiak shule ya msingi
Halengo,Secondary amesoma Mbeya secondary School,High School amesoma Sangu Secondary School na sasa hivi ni Mwanafunzi wa chuo cha Uhasibu kilichopo Mbeya.
Ni mmiliki wa organization ya EGY BUSINESS SOLUTION ambayo ni organization ya familia ikiwa ni ufupisho wa jina lake na mawili ya wadogo zake yaani Elly,Given na Yaredi.
Ni kiongozi wa kamisheni ya vijana ya shirika la YWCA Mbeya.
Ni mmoja wa wanachama wa jumuiya ya vijana ya Afrika mashariki inayoitwa CWS YOUTH ambayo inayojihusisha na masuala ya vijana hususani kuwakomboa vijana KIFIKRA.
Elly Lawi ni nani hasa?
Elly ni Mwanaharakati wa masuala mbalimbali ya Kiuchumi(Mjasiliamali) na Kijamii akitokea jijini Mbeya akiiwakilisha vizuri Tanzania katika ukanda huu wa Afrika mashariki.
Historia yake kwa ufupi
Amezaliwa mwanzoni mwa miaka ya tisini akiwa ni mtoto wa kwanza katika familia ye Bw & Bi Lawi yenye watoto watatu.Elimu ya msingi ameipata katiak shule ya msingi
Halengo,Secondary amesoma Mbeya secondary School,High School amesoma Sangu Secondary School na sasa hivi ni Mwanafunzi wa chuo cha Uhasibu kilichopo Mbeya.
Harakati zake za kijamii
Ni kiongozi na mwanzilishi wa Asasi inayoitwa MLIMANI YOUTH GROUP inayojumuisha vijana zaidi ya hamsini(50) wa rika mbalimbali ikijumuisha vijana wanaishi nzovwe juu maarufu kama mtaa wa mlimani ndio maana ya jina la Mlimani Youth Group iliyojikita katika kushughulika na masuala mbalimbali ya kijamii hasa yanayogusa vijana na watoto yakilenga katika kujengeana uwezo katika kuhakikisha wanafanikiwa katika kutimiza ndoto zao kielimu,biashara,kilimo,michezo/sanaa n.k,kusaidia wasiojiweza na katika kujengeana uwezo na kuhamasishana katika kuishi kwenye misingi ya maadili mema bila kubagua dini,kabila wa jinsia.Ni mmiliki wa organization ya EGY BUSINESS SOLUTION ambayo ni organization ya familia ikiwa ni ufupisho wa jina lake na mawili ya wadogo zake yaani Elly,Given na Yaredi.
Ni kiongozi wa kamisheni ya vijana ya shirika la YWCA Mbeya.
Ni mmoja wa wanachama wa jumuiya ya vijana ya Afrika mashariki inayoitwa CWS YOUTH ambayo inayojihusisha na masuala ya vijana hususani kuwakomboa vijana KIFIKRA.
Malengo yake hasa ni nini?
Nilipomuuliza kuwa malengo yake ni yapi hasa alijibu 'nina lengo moja tu ambalo ni kuja kuwa Mjasiliamali mkubwa sana Tanzania na Afrika Mashariki kati na kusini'. nilipombana sana kwamba anataka kuwa kama nani akasema 'just mjasiliamali mkubwa'. Lakini akaongeza kuwa anataka siku moja jamii ije kunufaika moja kwa moja na harakati anazozifanya.Pata picha za matukio mbalimba za ziara alizozifanya sehemu mbalimbali za Afrika Mashariki
(picha za Kenya na Uganda)
hapa akiwa kwenye Asasi ya Vijana Wakristo KENYA
hapa akiwa NAIVASHA (akitembelea na kujifunza biashara ya upandaji wa maua) ziara waliyofanya na CWS YOUTH
SIAYA (walitembelea kikundi cha vijana-kijiji cha asili anayotokea OBAMA na ODINGA)-ziara walifanya na CWS YOUTH.
SIAYA (walitembelea kikundi cha vijana-kijiji cha asili anayotokea OBAMA na ODINGA)-ziara walifanya na CWS YOUTH.
JINJA(kwenye chanzo cha mto Nile
JINJA(kisiwa cha samuka)
KAMPALA
KABALE-Camping (lake bunyonyi ziwa lenye kina kirefu zaidi nchini uganda)
central kabale-kumtembelea mjasiriamali Denis(muuza mananasi kwa jumla-mwenye ndoto isiyo na mwisho-ni yatima aliyewezeshwa na cws kielimu na jinsi biashara yake)
ZINGATIA SANA HUU UJUMBE KIJANA MWENZANGU UTAKUSAIDIA KATIKA UJANA WAKO.

0 comments:
Post a Comment