Thursday, 24 July 2025

MATUKIO KWA PICHA – MCHUJO WA VIPAJI MBEYA CITY FC

Tarehe: 24 Julai 2025 | Mahali: Viwanja vya Isyesye, Mbeya

Hapa chini tumekuandalia picha za matukio mbalimbali ya leo kwenye zoezi la scouting lililowakutanisha zaidi ya vijana 300 waliokuja kuonesha vipaji vyao mbele ya benchi la ufundi la Mbeya City FC.

Picha hizi zinaangazia:

-        Hamasa ya vijana waliojitokeza

-        Mazoezi na majaribio ya uwanjani

-        Meneja Mwagane Yeya akizungumza na wachezaji

-        Kikosi cha makocha na waamuzi wakifuatilia kwa makini

-        Nyuso za matumaini, juhudi na ushindani wa kweli

"Kila picha ni ushuhuda wa ndoto inayojengwa. Hili ni daraja la matumaini kwa kizazi kijacho cha soka la Tanzania."

Tazama matukio katika picha:

























Endelea Kufuatilia

Kesho mchujo unaendelea, na hatua ya mwisho itatoa kikosi rasmi cha Under 20 na Under 17 cha Mbeya City FC.
Fuatilia ukurasa huu kwa taarifa zaidi, matokeo ya mwisho na picha nyingine za kipekee.

TimuYaKizaziKipya#MbeyaCityFC #ScoutingDay2025 #IsyesyeTrials #YouthFootball #MbeyaPride

0 comments:

Post a Comment