Sunday 30 July 2017

SHAX AFUNGUKA MENGI YA MOYONI,ATOA SOMO - sehemu ya kwanza





Msanii wa kike anayefanya vizuri Mbeya na nyanda za juu kusini Sharifa maarufu kwa jina la SHAX (anayeonekana pichani) ambaye pia ni dansa maefunguka mengi kuhusiana na fani yake ya sanaa.

Mambo aliyoyaongelia ni pamoja na
:-

-          Muziki wake

-          Skendo zinazomzunguka

-          Uhusiano wake na wasanii wenzake

-          Somo kwa wasanii wenzake

Kuyapata yote haya fuata link hii hapo juu

0 comments:

Post a Comment