Programu za organisation ya EGY BUSINESS SOLUTION na MLIMANI YOUTH GROUP
Programu
za organisation ya EGY BUSINESS SOLUTION na MLIMANI YOUTH GROUP walipotembelea kituo cha watoto yatima IWAMBI-Organisation hii inaongozwa na kijana mdogo tu ambaye ni mfano wa kuigwa katika jamii hii ya kizazi cha sasa,kijana huyu anakwenda kwa jina la Elly Lawi-BONKE.
No comments:
Post a Comment